Ajira mpya 15000 kabla ya 30 June

Ajira mpya 15000 kabla ya 30 June

Neno ajira futeni kwenye kichwa cha komwe.
Nilishasema waalimu sio watawala.
Huyu katoka chuo kapangiwa shule akafundishe.
Mnategemea ataelewa nini maana ya kutokuwa na ajira.
Vumilieni tu.
 
Nilishasema siasa ni kama shetani, uongo mwng na ahadi kibao kutekeleza ni hewa, hawakosi sababu hawa mbwa za kudanganya wakiulzwa, Tz Siasa za hovyo ndo znazotawala na sio utashi, wanasiasa wote ni Wasengerema tu!

Note, usimwamn mwanasiasa bora ujiamn mwenyewe!
 
Back
Top Bottom