PSPA Pure'12 udsm
JF-Expert Member
- Jan 11, 2013
- 834
- 450
Mtoa tangazo anaonekana ameajiriwa Kwa wahindi. Nafikiri wote tunaijua mishahara ya wahindi, kwahiyo nae anaajiri kihindi hivo hvo. Najua anatamani kulipa mshahara mzuri lkn uwezo wake umekomea kwenye 50,000/= .