Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Oct 10, 2014 #2 haka kajanja mshana huoni mpaka kana simu ya kuwasiliana na wateja
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 10, 2014 Thread starter #3 Wapoti said: haka kajanja mshana huoni mpaka kana simu ya kuwasiliana na wateja Click to expand... Hee kweli Wapoti halafu ni simu ya wasap tatizo rangi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Wapoti said: haka kajanja mshana huoni mpaka kana simu ya kuwasiliana na wateja Click to expand... Hee kweli Wapoti halafu ni simu ya wasap tatizo rangi
Silasuga mahinyila JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 209 Reaction score 119 Oct 10, 2014 #4 kamo if....... kametuma post ya kichochezi... kanawasiliana na mods........
P Percival JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 4,014 Reaction score 3,110 Oct 10, 2014 #5 natumaini katiba mpya ina dhamini haki za watoto ikiwa pamoja na kupata elimu na fursa za ajira - la sivyo ni longo longo kama kwaida
natumaini katiba mpya ina dhamini haki za watoto ikiwa pamoja na kupata elimu na fursa za ajira - la sivyo ni longo longo kama kwaida
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Oct 10, 2014 #6 Halafu ndo tunategemea kupata wanasayansi
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 10, 2014 Thread starter #7 mankachara said: Halafu ndo tunategemea kupata wanasayansi Click to expand... Tuna tatizo la vipaumbele
mankachara said: Halafu ndo tunategemea kupata wanasayansi Click to expand... Tuna tatizo la vipaumbele
mankachara JF-Expert Member Joined Sep 27, 2013 Posts 6,161 Reaction score 3,496 Oct 10, 2014 #8 mshana jr said: Tuna tatizo la vipaumbele Click to expand... tumlaumu nani?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Oct 10, 2014 Thread starter #9 mankachara said: tumlaumu nani? Click to expand... Kila mmoja wetu ana sehemu ya lawama lakini zaidi ni wale tuliowaamini watuongoze
mankachara said: tumlaumu nani? Click to expand... Kila mmoja wetu ana sehemu ya lawama lakini zaidi ni wale tuliowaamini watuongoze