AJIRA KWA WALIMU

AJIRA KWA WALIMU

KAMBUNDA

Member
Joined
Jan 2, 2013
Posts
79
Reaction score
8
Naba kujua kama kuna post zozote za walim kwenda kusoma kama zimetika kwa sisi tuliomaliza na kupata dvn 111 jaman...maana nimeaply lakin hakuna jina langu jaman nikiwa naangalia katika ukurasa huo.

Sasa je,, majina yametoka??? Naomben msaada wenu wana jf.
 
Hueleweki bora hata usiajiriwe tuendelee kuisoma namba wote kuandika hujui ajira unataka yanini?
 
Hahahah hahahaha tena wewe ni jipu kwa Serikali ya Magufuli...kumbee nyie ndio mnaotafutwa wenye vyeti bandia eeeehhhhh....
 
Back
Top Bottom