Mr eze95
Member
- Feb 1, 2019
- 34
- 24
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kujua hizi ajira tunazosikia zinaombewa vibali kila kukicha zinatoka lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Shule za private kibao..plus primary na umesoma sayansi bado unalia ajira za serikalini?Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kujua hizi ajira tunazosikia zinaombewa vibali kila kukicha zinatoka lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah. Nimeishia kushusha pumzi tu,daaa...!Mkuu fungua Tuition ujiajiri usisubiri mpaka uwe ombaomba kama Yanga.