ivi wadau ajira zake zina mashiko hapa tanzania. nataka kuwa mkaliman nimeapply course moja ya language chuo flan hapa bongo. mnanishauri vip ndugu zanguni.
nisome au nipiotezee kama ntaipata napenda sana french

Some mzee sema ufanye lugha nyingi kidogo...
Ajira huwa haziishi hata siku inabidi uwe very competent kwenye dunia hii ya upendeleo....
Kuna mdogo wangu anafanya kazi kwenye mahakama moja ya kimataifa anatafsiri lugha ya kifaransa kwenda English....
Mshahara mzuri sana...
We koma asa french itakutoa sana c umesikia vyuo vya uwalimu wameanza kuwafundisha kichain kwa sababu ni nch ya biashala jitaid utapata ajira nzur mana ni watu wachach wanao isoma language