Ajira - kwa waalimu wa physics na mathematics olevel. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajira - kwa waalimu wa physics na mathematics olevel.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by mikumi, May 9, 2012.

 1. m

  mikumi Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  KWA MTU YOYOTE WENYE DEGREE AU DIPLOMA YA UALIMU MASOMO YA PHYSICS AU MATHEMATICS ANIPIGIE SIMU AU ATUME CV YAKE KWA MAWASILIANO YAFUATAYO . MSHAHARA MZURI, SIYO PART TIME NA USIWE HUJAMALIZA MASOM YAKO NAMBA YA SIMU 0813 007977 AU 0786 007977 NA eliud732001@yahoo.com
   
 2. a

  achilles Senior Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ikitokea english+litetature tujulishane mkuu.mm graduate udsm 2010 BAED
   
Loading...