Ajira kwa mhasibu (Computerised Accounting)

fsc0208

Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
9
Reaction score
0
Ndugu zangu wana jamvi anahitajika kijana mhasibu mwenye at least Diploma in Accountancy anayefahamu accounting package mbili yaani Quickbooks na Tally ERP 9. Hii ni kwa ajiri ya kufundisha Short course tajwa, kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba 0657 844 380
 
Taja na mshahara kabisa!!
 
Mshaharaaa kias gan mi npo na tally hioo quick book nna experience nayooo niliiitumia nikiwa field nilipokuwa katikaa strong room
 
Back
Top Bottom