Ajira kutoka chuo cha Veta

Ajira kutoka chuo cha Veta

Reality of heaven

Senior Member
Joined
Nov 2, 2022
Posts
108
Reaction score
353
Habari wakuu!

Kuna chuo cha Veta kinatafuta mwalimu wa Life skills na Entrepreneurship! Wanahitaji mtu mwenye diploma na kuendelea.
 
Habari wakuu!

Kuna chuo cha Veta kinatafuta mwalimu wa Life skills na Entrepreneurship! Wanahitaji mtu mwenye diploma na kuendelea.
Hiyo sio VETA mkuu ni VTC Yaani vocational and training center,VETA ni mamalaka inayonilikiwa na serikali na ajira zake zinapita sekretarieti ya ajira .hivyo rekebisha , heading
VETA kirefu chake ni Vocational education and Training Authority
 
VTC lazima hiwepo
 
Tiyari kuna mtu amepatikana!!! Bado kunq uhitaji wa kufundisha secretarial ! Mtu mmoja kama Yupo anipm
 
Chuo kipo mkoa gani? Mi na watu wa fani hiyo mi mwenyewe mtu wa hiyo fani naweza kuja kujitolea Kama karibu na nilipo naweza kuwaambia wakakataa kutokana na sehemu, Kama unavyojua watu wa hii fani kwa malingo malingo.
 
Back
Top Bottom