Mkiona pia LA mpwapwa DC tujulishane tujiaribu kuomba wadauZitakua zimejaa kabla ya kutangazwa.Nawaza kwa sauti.
Mkiona pia LA mpwapwa DC tujulishane tujiaribu kuomba wadauZitakua zimejaa kabla ya kutangazwa.Nawaza kwa sauti.
Nadhan sehemu za majiji Kama dsm kwa ujumla mwanza tanga Arusha dodoma mbeya pesa itakuwa ni kubwa haitotofatiana Sana kutokana niemanispaa kubwa zenye pesakwingine 20
watu wanajikuta hawaelewi yani niwabishiNadhan sehemu za majiji Kama dsm kwa ujumla mwanza tanga Arusha dodoma mbeya pesa itakuwa ni kubwa haitotofatiana Sana kutokana niemanispaa kubwa zenye pesa
[emoji23][emoji23]labda uko HakunaBariad bado tu kumamaake
Hakuna vipi mkuu wakati hata uku wakazi wapo wakukusanyiwa taarifa[emoji23][emoji23]labda uko Hakuna
Kwan vigezo s kuanzia form4 na kuendelea?Hivi kama mtu una degree ni sahihi kutumia cheti cha chuo husika kama kiambatanishi au ukitumia itaonekana kama umezidi vigezo ?
Asante Mungu nimechaguliwa.Watu na watu wao.
Hongera sana, Umeshafanya Interview?.Asante Mungu nimechaguliwa.
Nimetoa hela ya maji 30,000 tu.
Nimetoa rushwa. Jtatu naanza kazi straight bila interviewHongera sana, Umeshafanya Interview?.
Kweli 😁😆 Hongera bhana. Tunaoichukia rushwa ni wale tusio na mavumba hahhaa!..Nimetoa rushwa. Jtatu naanza kazi straight bila interview
Sahihi kabisa.Zitagombaniwa balaa hadi watahonga ndo mtu apete kazi
Making yako wapiAsante Mungu nimechaguliwa.
Nimetoa hela ya maji 30,000 tu.
MajinaMaking yako wapi
Majina huwa wanabandika ofisi ya afisa mtendaji, Wengine hutumiwa text.Majina