mkwawa gabriel
Senior Member
- Apr 7, 2012
- 100
- 23
Usalama wa taifa hauna mzunguko mkubwa hivo,usalama wa taifa ni nani anakujaua basi
No haija uzwa nchi hii labda wwe mwenyewe unaweza kuiuza kwakuto...............................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!ok!!!!!!!!!!get to understand datNchi imeshauzwa hii jaman....unajiriwa according to whom you know and not what you know
Mwezi wa tano au wa sita!!!!!!!!!!! hawa walioenda kwa mujibu wa sheria ni miezi m3 tu xo subiri na endelea kupitia website hii Jeshi la Kujenga Taifa and soma matangazo utaona tu huo ndo ushsauri wangu wa kwanza.Ushauri wangu wa pili uwe mtafiti sana wa kutembelea afisi za wilaya yako ktk kamati ya ulinzi na usalama utapa info and not rumors plz maranyi humu ndani utakuta rumors na watakukatisha tamaa xana so stand up and do it for your self and you will achieve your plans and goalsNafasi ya kujiunga na hiyo JKT INAPATIKANA WAPI??
Mbona kama umekata tamaaaaaaaa vile plz usikate tamaaaaaaaa stand up mwezi wa tano au wa sita wanachukua tena JKT pia nakushauri xana tembelea websit yao WWW.JKT.GO.TZ and afisi za wilaya yako ktk kitengo cha ulinzi na usalama utapata majibu not majawabu na uwemfatiliaji wa karibu sanaa!!!!!!!!!!!!!!!!!Dah asante kwa taarifa ndugu
Mzunguko upo ndivyo ilivyo ivo(hawachukuagi makapi hata kidogo xo acha kujidanganya) but wanangalia vigezo vingi kama wwe ni mropokaji kuna mwaka wa maangalizi bado ukiwa JKT xo unaweza kuomba lakini vikosi vingine wakaondoka ila wwe ukabaki hii inafanyika kwasababu ya kukufuatilia na kuangalia kama wwe ni mvumilivu and if you can be touched usilikishe siri xo kule hakuna kujuananiwemugizi hata kidogo wao huchukua watu makini na ambao wanaweza kuwa na siri na mtunza siri na wanakufuatilia mpaka kwenu ulikuwa unaishi vp?na wenzio home mpaka vijiweni na jamii kwa ujumla na wanapenda watu wa kweli hasa UKIWA UNAFANYA INTERVIEW WANAKWAMBIA KABISA SEMA UKWELI KWA WATAKAYO KUULIZA KUHUSU MAISHA YAKO MAANA WAO WANAFUATILIA MPAKA HOME XO UKISEMA UONGO DEN HAUCHAAGULIWI ndo hapo sasa utaanza kusema ahaaaaaaaaaa wamechagua kwa kujuana no Truth and Facts of True is mostly needed plz GET TO KNOW DAT myn

No ukimaliza unarudi nyumbani kule ni kujifunza maadili ila kama watawaitaji watawaambiaAsante sana kwa taarifa! pia jamani nina swali! je kwa sisi tunaokwenda jkt kwa mujibu wa sheria tunayo fursa ya kujiunga na jwtz na dola nyingine kama hizo?
Wewe kama siyo mtoto wa wana magamba hupati kitu hapo.
Ccm oyeeeee
Ajira oyeeee
Maisha magumu oyeeee
Nchi ya oyeeee