Askari wa miguu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 344
- 124
tatzo lako ubishi hapo awali ni kweli jkt walikuwa hawaajiri lakn miaka michache iliyopita ilianza kuajiri,mfano gen.mwamunyange alikuwa mwajiriwa wa jkt mpaka wakat anateuliwa kuwa jenerali,nenda pale makao makuu yao utakuta vitengo ving na watu wa ngazi au vyeo vyao vyo wanatumika,naomba unijibu jeshi lisiloajiri anaweza kupatkana major ndani ya kutumikia jkt miaka miwili? Alafu uende jitegemee sec. Unambie inawalimu wa jwtz peke yake?
Gen Mwamunyange ni mwajiriwa wa JWTZ ambaye alishafanya kazi ktk kitengo cha JKT! Nilisema mwanzo kwamba wanajeshi wote unaowaona JKT ni waajiriwa JWTZ na JKT ni part ya JW! Sasa kp kicchoeleweka hapo? JKT way through ya kwenda JW. Kuhusu labda waalimu Jitegemee wale ni raia na cyo askari ila ukiona askari au afisa pale ujue ni mwanajeshi wa JWTZ