Elly Andrew
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 413
- 178
Ndg zangu mwenye taarifa kuhusiana na kujiunga na jkt kusikokuwa kwa mujibu wa sheria
daaa! Hata mimi nazitaka bwana mwenye taarfa atujuze
maana mi nafatlia xana lakn cjafankiwa lakn nataka
niandke barua ya maombi kwenda kwa meja jenerali
raphael muhuga ambae ni mkuu wa jkt
Bali hufanya nn kam hawaajir?
huandaa vijana wa kitanzania kwa mafunzo ya kijeshi na stadi mbalimbali za kazi ili waweze kuajiriwa na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama WAKIBAHATIKA kulingana na vigezo mbalimbali na wasipobahatika waweze kujiajiri wenyewe! JKT haiajiri mtu yoyote ndio maana ukimaliza miaka yako miwili ya mkatatba na hujaajiriwa bac JKT wanakutema unarudi mtaani kuanza upya! JKT siyo mwajiri na ndio maana maofisa na askari wote wa JKt ni waajiriwa wa JWTZ cyo JKT
Ndg zangu mwenye taarifa kuhusiana na kujiunga na jkt kusikokuwa kwa mujibu wa sheria
Mbona kambi zingne wameshachukua watu,ujue kwa sasa hzi ajira za majeshi zimekua ni kujuana kwa sana,mi mwenyewe naitaji sana jwtz wandugu,2juzane 2.
za m 23 je ni lini nazo?
Nini..??
Nini..??
huandaa vijana wa kitanzania kwa mafunzo ya kijeshi na stadi mbalimbali za kazi ili waweze kuajiriwa na vyombo mbalimbali vya ulinzi na usalama WAKIBAHATIKA kulingana na vigezo mbalimbali na wasipobahatika waweze kujiajiri wenyewe! JKT haiajiri mtu yoyote ndio maana ukimaliza miaka yako miwili ya mkatatba na hujaajiriwa bac JKT wanakutema unarudi mtaani kuanza upya! JKT siyo mwajiri na ndio maana maofisa na askari wote wa JKt ni waajiriwa wa JWTZ cyo JKT
nani kakwambia jkt hawaajiri ndg yng? nayo huwa inaajiri sana tu isipokuwa baadh tu,na wengne hubak kutumikia kwa muda wa miaka 2.
hutaki acha hulazimishwi kila la heri katika kusubiria 'ajira" za jkt