alexanda j kasomo
Member
- Jul 6, 2014
- 33
- 1
Napenda sana kujiunga na jeshi la police.Nikiwa chuo 2013 nilijaza form lakini sikuitwa kwa sasa niko mtaani form za kujiunga zimetoka kwa wahitim tu.Je tulioko mtaani na tunamoyo wa uzalendo wa kujiunga na jeshi la polisi, tunaomba kwa njia ipi? au barua zitumwe kwa anuani ipi?