curry_atomic
Member
- Mar 30, 2020
- 57
- 48
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwaka huu.
Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi yoyote lengo ni kupata experience ya kazi inisaidie kusonga mbele katika ushindani wa ajira.
Nina ujuzi katika mamb yafuatayo
1.System development using frameworks (Laravel, Spring boot,Spring mvc)
2.Database design and implementation (Mysql, Microsoft sql server)
3.Nafahamu programming language zifwatazo (Java,Php,javascript)
4.Na ujuzi wa kati katika web services kwa kutumia spring boot
5.Na ujuzi wa kati katika mamb ya machine learning na deep learning kwa kutumia python
5.Na fahamu networking routers and routing protocols kufanya configuration za routers ingawa nikiwa chuoni sikufanya na real device tulikua tunafanya simulation kwa kutua tools kama pakcet tracer
6.Ni system analyst
Natanguliza shukrani.