mswangajr2010
Member
- Jan 10, 2013
- 41
- 9
wadau hivi kama uliwahi kuajiliwa serikalini idara x ,ukapata na cheki namba ukaona hakulipi ukaamua kufanya mambo mengine,ukitaka baadae kuomba kazi idara nyingine toauti serikalini mfano jeshi cheki namba ya idara uliyofanyia mwanzo itasoma? inakubalika? au utaonekana tayari ni mwajiriwa?