Ajira bwana! Eti nikupe mshahara wa kwanza

Ajira bwana! Eti nikupe mshahara wa kwanza

Duuh...na hivi ndo umesota mtaani ukishasikia interview tu akili inakuruka. Ila wengi matapeli tu...though kazi za siku hizi kupata bila kutoa hela chachee...nipe nikupe ndo mchezo! Wengine tusiokua nacho tunaishia kusema Kama IPO IPO tu! heheh...

Kweli mdau bila tonge sheedah ila kwa style hii hapana
 
huyu Mr rajabu ni tapeli kwa kweli.
Na mimi pia alinitumia ujumbe wiki iliyopita..
Shame upon you mr rajabu, namba yake ni hii 0653-964 332.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom