saadmad
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 729
- 653
Hallo, am Mr. Rajab from ECOSEARCH NGO Dar, tupo kwenye kikao cha dharura leo tunapitia CV za kuinterview for PROJECT OFFICER post, your cv is good me nataka kukusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, mshahara ni 1,200,000/=(take home salary) ukishaanza kazi rasmi utanipa sh. laki 4 kama asante yangu kwa kukusaidia, na kabla ya saa 11 jioni uwe umetuma sh. elfu 35 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali amesema anaitaka leoleo, ntakuforwadia maswali kwenye email, nikitoka kikaoni nitakupigia simu.
MDAU natafuta ajira tena nikupe pesa yangu 35 ambayo ndo balance yangu ya kupost application letter pamoja na nauli, never ever tena sikujui aaah! Nina vigezo vya kupata ajira ila kwa hili
Pyeeeeeeenh.