Napenda kuwataarifu wale wote waliosomea (I.T) kwamba kuna nafasi zaidi ya 9900 ambazo zinapatikana kwenye kampuni ya (RET)mob security na pia inatangaza kutafuta mawakala nchi nzima.wanapatikana PPF TAWA,ghorofa ya 17 na namba zao za simu ya mkononi ni hii 0762397790.ni hayo tu kwa kifupi,kama unawafahamu zaidi tafadhali ongezea hapa na ukifanikiwa usisahau kuweka mrejesho hapa (asante kwa kusoma)
Utanifanya nikose usingizi wiki hii yote, mweeeeeeee! Natamani webcam ingekuwa inafanya kazi uone nilivyopiga magoti huku naandika hii post, yaani msamaha pekee ndiyo ninaouomba kwako. Hakika nisamehe tu!
Utanifanya nikose usingizi wiki hii yote, mweeeeeeee! Natamani webcam ingekuwa inafanya kazi uone nilivyopiga magoti huku naandika hii post, yaani msamaha pekee ndiyo ninaouomba kwako. Hakika nisamehe tu!
hahahahaaa! Mkuu haunihusu msamaha wako ila umenifanya nicheke kweli. Maana kama nakuona vile jisura lilivyokushuka 'fuuuu' utadhani mpira wa vinundu umetobolewa au avatari ya pasko ngumi jr. Aah!
dah...wana jf yaan kuna vitu vingine vya ajabu sana...nimepiga simu kwa namba alizoacha jamaa..nilichoambiwa ninatakiwa nitoe elf 60 kwa ajili ya training then ndio unapewa jukumu la kufanya kazi na mawakala wao..hapo naona unanunua kazi kwa elf 60.....kwa mtaji huo mi siwezi
Ebu! just simple math. 60,000*1000/=60,000,000/= mhh alots of money, mjini shule, kijijin jembe. Watu wana make money kupitia shida za watu! World is not fair. Kuwen makin job seekers, watu wamewageuza nyie mradi. Napita tu...
CPA(T)