Ajira 45,000 mwaka 20/21 ni uongo wa mchana na hii ndiyo sababu

Wadau,

Waziri wa ajira amesema serikali itaajili wafanyakazi wapya wapatao 45000 kasoro kidogo katika mwaka huu wa fedha. Mie nadhani ni uongo wa mchana kwani katika kipindi cha miaka minne serikali ilishindwa kuajiri hata wafanyakazi elf 15 tu, je itaweza kipindi hiki ambacho tunacorono na madeni ya serikali ni makubwa?
Ndugai alishatoa ufafanuzi vijana wafanye kazi wasikae vijiweni kusubiria ajira za serikali.
 
Back
Top Bottom