Ajinyonga kwa kunyimwa unyumba

Huyo ni adui ujinga
sio ujinga, kadhia kama hizi zipo nyingi na sababu ni umaskini wa kupindukia unaosababishwa na serikali dhalimu ya CCM..kwani ni mara ngapi tumesikia mzazi kamuua kwa kipigo mtoto wake kisa ameiba sh.mia?? haya ni matokeo ya kuchagua hawa satanists CCM ili watuongoze..
 
Kabisa kabisa, kwanza ile kamba kaipatia wapi, wakati mke wake anasema alitoka na shoka mbili, afu police wanatakiwa wamchunguze huyo mwanamke alikimbilia wapi, kuna harufu harufu ya mke wake kuwa kafanya mauwajai hayo au kuna big deal hapo.

na atafutwe huyo hawara wa mke ahojiwe,
mke na huyo hawara inawezekana wanahusika,
 
yaani huwa sikubaliani na hili la dili zinapatikana bar.

Hawana ofisi? Au matapeli?
Kongosho Bar ndiyo sehemu ambayo deal za nje ya ofisi zinapangwa na mnapokutana Bar ni rahisi sana mtu akishapiga 1,2 kukupa siri ya jinsi ya kufanikiwa tofauti na akiwa hajaonja.........
Hii inaitwa WINE TALKS inakuwaga nzuri sana.
 
Last edited by a moderator:
Si alikuwa kwenye vikao vya wazee hujui deal nyingi za kina baba zinapatikana bar?

aah wapi! hujanidanganya bado. sasa vikao ndo vikasema ampige mke?

unarudi usiku hadi mdomo umechacha, kisha umelewa mchana kutwa huna kazi ulonisaidia nimefanya kazi kama kigari cha mshahara, bado huna liwazo ulilonipa mchana hata niwe kwenye mudi ukirudi unataka uniparamie kama mchi kwenye kinu lol!..............tumbi tumbi tumbi ya mgogo manuu wapenden wake zenu bora kajiua mwenyewe manake ukikutana na mkorofi anakuua wewe.

ningeumia kama inngekuwa ni mke kamuua mumewe but kajiua mwenyewe to hell alitamani kuwah asikokujua wakati ni bora angechelewa anakokujua.
 
Last edited by a moderator:
Kuna beberu nime chinja sababu ya kupiga kelele za kutaka madem!Ile kitu wacha kabisa....
 
Ila kweli

Mie deal nyingi nazipatia gest house, kumbe wanamme mnapatia bar?

Kongosho Bar ndiyo sehemu ambayo deal za nje ya ofisi zinapangwa na mnapokutana Bar ni rahisi sana mtu akishapiga 1,2 kukupa siri ya jinsi ya kufanikiwa tofauti na akiwa hajaonja.........
Hii inaitwa WINE TALKS inakuwaga nzuri sana.
 
Ila hili tatizo la kina baba kunyimwa haki ya ndoa linazidi kukua kila kukicha inabidi tuungane wakina baba tuanzishe taasisi za kutetea wanaume kwa sababu wanawake wamepewa nguvu hadi imepitiliza sasa.


Naunga mkono hoja! Halafu kwenye mambo yanayowa-favour tu ndiyo wanadai haki sawa lakini kwenye shuruba wanasema wewe ndiyo baba wa nyumba!This is getting too much now!
 
Tukubali tu huyo jamaa alizidiwa na kilevi, huwezi kuchukua maamuzi ya kijiua kisa umenyimwa unyumba, angeweza kumaliza haja zake hata kwa punyeto.
 

well said madam...
 
Hata kama umeoa haimaanishi ndio leseni ya kumbaka mke wako..! Lile tendo bado linabakia kuwa ni la ridhaa.. Mwisho wa ciku ufanye na mkeo afurahie.. Sasa huyu katoka kwenye pombe huko anataka.. Kuambiwa mwenzie amechoka ndo kaja juu..! Ubakaji huo..

No wonder watu wengine humalizia kwenye pombe zao,wakirudi home ni kulala tuu..
 

Kuna thread moja iko humuhumu,eti jibaba limekataa kutoa unyumba for 8 months....mdada ameilete MMU anaomba ushauri...Huyu nae anakataa kutoa ngono!!!kweli maisha kizunguzungu!!LOL
 
No wonder watu wengine humalizia kwenye pombe zao,wakirudi home ni kulala tuu..

Ni afadhali wafanye hivyo Mkuu.. kuliko kukaa bar wanakunywa pombe na kuwashika matiti na makalio barmaids.. wakishapata stimu wanarudi kwa wake zao saa nane uciku ati wanataka unyumba..! Maana afadhali wangetoa taarifa mapema baci wenziwao wajiandae..
 

sio safe sana lakini mkuu...mi naona ukilewa pombe,sehemu salama kabisa ni kwa mkeo......usije shangaa unavaa kondom kidoleni!!!
 
sio safe sana lakini mkuu...mi naona ukilewa pombe,sehemu salama kabisa ni kwa mkeo......usije shangaa unavaa kondom kidoleni!!!

Ha ha ha.. Hiyo ya kuvaa condom kidoleni Mkuu imeniacha hoi.. Ila bado ninafikiria kuna umuhimu wa kumuandaa mwenzi wako kama wajiona huko unakoenda ukirudi lazima upate ile chakula cha utu uzima.. Unajua nayo ikiwa uciku sana ile ya mwanamke inakuwa imechacha kidogo..
 

Hahahaaaaa....eti imechacha...!!!Yap,km vp una m'sms......siku hz kuna BBM,WHATSAPP na vitu kede kede!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…