Ni kweli kijana amejifanyia ukatili wa kutisha kwa
Kujinyonga hadith kufa sababu alizoziacha
Ni anasema ameamua kujiua baada ya kunyang'anywa girl friend na huyo binti inaelekea alikuwa nae tangu
Form 5na6 na wakahamia wote hapo chuoni
Mwanza kufika mwanza ndipo binti alipomsaliti na huyo
Aliemchukua akatengeneza genge la marafiki ambao kazi yake ikawa kumzomea na kumtania hichi ndicho kimepelekea akose raha na kujiua. Marehemu ni mdogo wangu kabisa :alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sheria.jinalake. SEIYA JEROME DOMINICK:
sasa ukweli ni upi? kajinyonga kwa kuitwa Cameroon au sababu ni hizo tetesi za kukanyaga mmoja wa watoto wa project wa mama mkapa?
Poleni sana wafiwa. Mtu anapoamua kujiua huwa inagusa hisia za watu wengi.
Mungu ailaze roho ya marehemu panapostahili.
Mbona sababu yenyewe ni ndogo mno alitakiwa kubaki kuongeza nguvu ya mapambano, RIP lakini amekufa kizembe mno na hayumo katika list ya mashujaa.
chagua mojawapo kati ya hayo
Hee Chilli, makubwa madogo yana afadhali..yani nilikuwa sijaelewa kabisa..kwanza uhusiano wa hilo jina na shogaz upoje??Belinda kama kuona huoni hata kusikia nako shida? Ok! Kwa kifupi Cameron wanatumia jina hilo kurefer watu wanaojihusisha na shughuli za kishoga/*******<ashakhum>
Sijaona mchagga mwenye maamuzi kama haya. si vema kumsema marehemu, lakini mhm?
Nyingine amekosa boom!Kuna sababu nyingine
I wonder how this issue will be looked upon in the next 50 years or the Tanzanians Future generation.... I am scared of the whole shebang's future!
Hee Chilli, makubwa madogo yana afadhali..yani nilikuwa sijaelewa kabisa..kwanza uhusiano wa hilo jina na shogaz upoje??
Anyway pole yake, labda alikuwa na msongo wa mawazo ikachangia kujimaliza.
Matoto kajinga...Poleni wafiwa ila na bangi zinahusika si bure.
Pole sana ndugu...Ni kweli kijana amejifanyia ukatili wa kutisha kwa
Kujinyonga hadith kufa sababu alizoziacha
Ni anasema ameamua kujiua baada ya kunyang'anywa girl friend na huyo binti inaelekea alikuwa nae tangu
Form 5na6 na wakahamia wote hapo chuoni
Mwanza kufika mwanza ndipo binti alipomsaliti na huyo
Aliemchukua akatengeneza genge la marafiki ambao kazi yake ikawa kumzomea na kumtania hichi ndicho kimepelekea akose raha na kujiua. Marehemu ni mdogo wangu kabisa :alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa kwanza sheria.jinalake. SEIYA JEROME DOMINICK:
Matoto kajinga...
Belinda kama kuona huoni hata kusikia nako shida? Ok! Kwa kifupi Cameron wanatumia jina hilo kurefer watu wanaojihusisha na shughuli za kishoga/*******<ashakhum>