Ajinyonga kwa kuitwa Cameron

sasa angejua kuwa wengine wanafurahia kuitwa Cameroon, aidha, hata kuitwa David ni hatari lakini wa akina David wengi hawana shida nahiyo.
 
inasikitisha sana wazazi wamejitahidi kumsomesha labda kwa kujijima sana halafu kijana anajiua kijinga jinga
inauma sana poleni sana wafiwa Mungu awatie nguvu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom