Ajifanya Polisi kwa Miaka 5....

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Joshua Waiganjo huyu ni Raia kenya,aliefanya kazi kama afisa mwandamizi wa police kwa miaka huku akiudhuria vikao vya kamati za ulinzi.

Rais Mwaibaki anatarajia kuunda tume kufanya uchunguzi inakuwaje mtu asiepitia mafunzo ya police na kufanya kazi za kipolisi

Jiulize Tanzania je?
Source>bbc
 
kwa huyu jamaa kutakuwa na siri iliyofichika!haiwezekani kwa muda wote huo awe afisa mwandamizi na gari la serikali atumie,hadi kupanda kwenye ndege ya polic kwenda kuangalia mauaji yaliyofanyika huko tana river,ndio wakamshitukia!
 
Mi nilidhani upuuz kama hutokea Tanzania tu kumbe hata Kenya!
 
sasa mshahara alikuwa anajilipa ama vp?
 
Rais Mwaibaki anatarajia kuunda tume kufanya uchunguzi inakuwaje mtu asiepitia mafunzo ya police na kufanya kazi za kipolisi

Jiulize Tanzania je?
Source>bbc

kenya wamepata rais mpya? Mwaibaki ni nani na kabila gani?
 
sasa mshahara alikuwa anajilipa ama vp?

rushwa huwa ni kubwa kuliko mshahara. Hushangai wafanyakazi wa kilimo anga hawajalipwa na serikali kwa zaidi ya mwaka? Unadhani wanaishije mjini arusha?
 
 
Last edited by a moderator:
rushwa huwa ni kubwa kuliko mshahara. Hushangai wafanyakazi wa kilimo anga hawajalipwa na serikali kwa zaidi ya mwaka? Unadhani wanaishije mjini arusha?

kweli mshahara wa kujilipa ni mkubwa kuliko ule halali, wale wameamua kuuza ndege 3 kwa laki 5 ila cha juu kitakuwa kingi kuliko kinacho ingia serikalini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…