Ajibu hakukataa kwenda TP Mazembe

Ni vizuri Yanga na simba wasiuziane wachezaji
Hawa ni watani wa jadi, wenye style yao ya maisha ya soka , inayofurahisha nchi na kuisisimua waboreshe tu baadhi ya maeneo ifikie hata kupeana wachezaji kwa mkopo kwa kipengere siku ya mechi yao asicheze.

Lkn utani huu, usiingiliwe sana, ukapoteza Radha hii tunayojivunia iliyolindwa kizazi hata kizazi.
 
Unajua hata barcelona na madrid hawauziani wachezaji,hakuna mchezaji anatoka direct kwenda madrid na kwa barcelona hivo hivo,lazima aende timu nyingine halafu ndo hiyo timu iwauzie.

Yanga na simba kuuziana sometimes ni kukomoana ndo maana sometimes tunauziana wachezaji wabovu ili mradi umemkomoa mtani wako
Hawa ni watani wa jadi, wenye style yao ya maisha ya soka , inayofurahisha nchi na kuisisimua waboreshe tu baadhi ya maeneo ifikie hata kupeana wachezaji kwa mkopo kwa kipengere siku ya mechi yao asicheze.

Lkn utani huu, usiingiliwe sana, ukapoteza Radha hii tunayojivunia iliyolindwa kizazi hata kizazi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom