Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
wewe ni mvulana wa dar bila shaka!25th AUGUST 2016
AJE remix Audio na Video Redone ALI KIBA ft M.I ABAGA itakuwa inaharibu hewa..
Kuwen teyar..
Kamwambien ALI KIBA asirelease hii ngoma sabab sio vizuri kuwakosesha amani wale WCB
Haya baas wewe wa mkoan..njoo Dar nikutembeze mjin..Usiumie kwa kukosa fursa ya kuja Darwewe ni mvulana wa dar bila shaka!
pole sana,sijakwambia sipajui Dar,naweza nikawa napajua zaidi yako,ila tabia zako ndio zimenifanya nikuulize,maana wavulana wa dar ndio wana hizo tabia,samahani kwa kutokunielewa!Haya baas wewe wa mkoan..njoo Dar nikutembeze mjin..Usiumie kwa kukosa fursa ya kuja Dar
Haya mkuuu...Nimetoa hoja tu ila sikatai mawazo yako..una uhuru wa kusema chochotepole sana,sijakwambia sipajui Dar,naweza nikawa napajua zaidi yako,ila tabia zako ndio zimenifanya nikuulize,maana wavulana wa dar ndio wana hizo tabia,samahani kwa kutokunielewa!
HahahaaaaaaHaya baas wewe wa mkoan..njoo Dar nikutembeze mjin..Usiumie kwa kukosa fursa ya kuja Dar
Mbwembwe nyingi sana,alafu video ikitoka tunaona midoli ndiyo inacheza.25th AUGUST 2016
AJE remix Audio na Video Redone ALI KIBA ft M.I ABAGA itakuwa inaharibu hewa..
Kuwen teyar..
Kamwambien ALI KIBA asirelease hii ngoma sabab sio vizuri kuwakosesha amani wale WCB
Hahha aje nikodi bajaji tutembee mjinHahahaaaaaa
Untembeze mjini jamaniiiiii
Wewe katoe video yako tuone watu wakicheza...ukipenda shoot na tecno camon c9Mbwembwe nyingi sana,alafu video ikitoka tunaona midoli ndiyo inacheza.
Mkuu kuna tofauti kati ya kushoot video na kurekodiwa...bila shaka jamaa arekodiwa tu.Wewe katoe video yako tuone watu wakicheza...ukipenda shoot na tecno camon c9
Hayaa baas mkuuuu...Nan anarekodii...nataka kutoa kichupaaaMkuu kuna tofauti kati ya kushoot video na kurekodiwa...bila shaka jamaa arekodiwa tu.
Kurekodia au kushoot video inategemea na msanii mwenyewe anataka nini,unaweza ukatumia hata simu yako ya tekno na video ikawa poa kuliko aliyekwenda South Africa kurekodiwa na Godfather.Hayaa baas mkuuuu...Nan anarekodii...nataka kutoa kichupaaa
Naam #Aje tu maana hakuna namnaWewe katoe video yako tuone watu wakicheza...ukipenda shoot na tecno camon c9