kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Tena aliemroga kafa.Wewe sio mzima, umerogwa!!!
Sasa hii thread yako kyanaKyoMuhaya ina ujumbe gani?
Una maana gani?...ulipoandika "ajaza nafasi ya Kaseja..."?
Sasa hii thread yako kyanaKyoMuhaya ina ujumbe gani?
Shangaaa Mwenyewe?
Source: Global Publishers
Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Liewig (kushoto), akiwa na kiungo wa timu hiyo Amri Kiemba.
Iwe,infwact umugambire na mama kokushubira.
Amekuwa nahodha wa Simba, nawajuza
Ungesema hilo toka mapema, kuliko kuweka blank post!
Sio Mimi, ni Tablet ilitaka kudondoka kuidaka kumbe nimegusa POST QUICK REPLY. Nikadhani imepotea ndio maana kuna thread mbili zinafanana.
Mabadiliko ya uongozi kwenye timu.
Sio Mimi, ni Tablet ilitaka kudondoka kuidaka kumbe nimegusa POST QUICK REPLY. Nikadhani imepotea ndio maana kuna thread mbili zinafanana.