Ajari ya aina yake mjini Iringa

Ajari ya aina yake mjini Iringa

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104

Naibu meya wa Manispaa ya Iringa Gravas Ndaki akishangaa ajali ya karne yenye maajabu makubwa kwa mkoa wa Iringa ,ajali iliyotokea usiku wa jana eneo la Hoteli ya kati (makosa) au CRDB ya zamani katika barabara ya Iringa -Dodoma, baada ya gari aina ya RAV 4 yenye namba T 319 AFL (juu) kuhama njia na kuigonga Taxi yenye namba za usajili T 510 AYU yenye hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha.


Ramadhani Mrisho maarufu kwa jina la Makosa ambaye ana jina kubwa katika masikio…

Naibu meya wa Manispaa ya Iringa Gravas Ndaki akishangaa ajali ya karne yenye maajabu makubwa kwa mkoa wa Iringa ,ajali iliyotokea usiku wa jana eneo la Hoteli ya kati (makosa) au CRDB ya zamani katika barabara ya Iringa -Dodoma, baada ya gari aina ya RAV 4 yenye namba T 319 AFL (juu) kuhama njia na kuigonga Taxi yenye namba za usajili T 510 AYU yenye hakuna majeruhi wala aliyepoteza maisha.
Ramadhani Mrisho maarufu kwa jina la Makosa ambaye ana jina kubwa katika masikio ya wakazi wa mkoa wa Iringa na Tanzania kutokana na jinsi alivyokuwa maarufu katika mji wa Iringa kwa kumiliki mali mbalimbali na kutoa misaada kwa jamii ameibuka katika eneo la ajali na kupinga ulevi kwa madereva.

Dereva wa Taxi yenye namba T 510 AYU Bw Kelvin Kaduma akitengeneza gari yake baada ya kutolewa eneo la ajali. (Picha Zote na Francis Godwin) Ilitokea feb 2013
 
100_6346_68510.JPG


Ajali hii ilitokea mwezi juzi...
 
Lazima trafik aliyeenda kuchora mchoro ana phd ya uchoraji
 
Sasa cha ajabu ni nini hata kuwa ni "ajali ya aina yake" na " ajali ya karne"?
 
Bado nashangaa vipi hiyo Rav4 iliweza paa juu?
 
Back
Top Bottom