Ajali za kujitakia!!! Utamlaumu MTU kweli???

nimecheka mwenyewe chumbani kama chizi
 
Hayo maneno yao sio sahihi ingawa picha imenichekesha sana.

Hayo maneno mi naona ni sahihi, ki uhalisia kazi nyingi wanazofanya wanaume ni hatarishi kiafya zaidi kuliko wanazofanya wakinamama, mfano mdogo angalia vijana wanaobeba magunia (lumbesa) huwa wanapata sana matatizo ya kiafya ambayo huchangia vifo, ipo mifano mingi tu.
 
Hata wakina mama sasa hivi wataanza kufa mapema kama wanaume kwa kuwa wameanza kufanya yanayomchukiza Mungu uzinzi, uuwaji na mengineo. Hata kazi iwe ngumu kiasi gani kama matendo yako ni mazuri Mungu atakulinda mpk ufike 70yrs!
 
Halafu usiku wana fatique ya kuingiza mitarimbo yao kwenye yale mashimo marefu yenye mtoto kali
Ama kweli wanaume tumeumbwa mateso
 
Mungu ni mwema, ila kuna uzembe mwingine hata Mungu anaona uvivu kukulinda. we mtu kapiga gari jeki, jeki yenyewe ipo juu jiwe halafu hamna kitu kingine cha kuzuia na jitu bado linaingia uvunguni mwa gari , jeki ikifyatuka kwa bahati mbaya mnasema ooh Mungu kampenda marehemu, kumbe ni uzembe tu.
 
Halafu usiku wana fatique ya kuingiza mitarimbo yao kwenye yale mashimo marefu yenye mtoto kali
Ama kweli wanaume tumeumbwa mateso

Heheh na wale wengine wanashabaha kali za kutafuta pesa ila wanashindwa kulenga kale kananii embu nikumbushe tena, wanasingizia giza na uchovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…