AJALI za kujitakia hizo........

Barabara kuwa nyembamba siyo tatizo, tatizo ni kusimamia na kuheshimu sheria za usalama Barabarani bila hivyo hata barabara ikijengwa yenye upana wa mita 10 bado ajali hazitakoma kama hatutaheshimu na kusimamia sheria zetu
 
siamini sana hoja hii, tufanye comparative analaysis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…