Ajali ya treni na maisha ya watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya treni na maisha ya watu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Mar 30, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Mar 30, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Je hii ajali ya treni iliyotokea Dodoma ni uzembe au tuiite nini? Station master hakuwa na mawasiliano na waendesha trani au ni hujuma tu. Ninawapo pole wale wote waliopatwa na msiba. Mungu azilaze roho za marehemu hao mahali pema peponi.
   
Loading...