Wana jamvi!; Poleni na MISHE MISHE za siku!
Ndugu yangu Alikuwa aanasafiri Toka mbeya na reli ya Tazara Express kuja Dar!
Alinipa taarifa Kwa simu kwamba wamepata Ajali MLIMBA!; Sijapata Mawasiliiano mengine zaidi.
Mwenye Taarifa Atufahamishe!

Ninacho shangaa Hawa Tazara hawana Kitengo Cha Mawasiliiano!
Hata waandishi wa HABARI kama Ayo Tv and the like nao kimya!
Ingekuwa maandamano ya kupinga CCM Nchi nzima ingehabarishwa!😇🙄