Ajali ya noah na bajaji-tegeta wazohill

Ringtone

JF-Expert Member
Nov 21, 2013
489
145
Kutokana mwendo kasi wa Gari ina ya Noah T278 CSV,iimegonga Bajaji T851 BVE.na kusababisha hali mbaya sana kwa watu wawili,dereva na abilia. Mwanzo gari ilikimbia eneo la tukio,lakin kwa ushirikiano wa magari na pikipiki waliweza kumkamata dereva wa noah na sasa yupo kituo cha police wazohill. Kuna taarifa gari lilikuwa likiwakimbia trafic. Nimeshindwa ku upload pictures.


Mwendo kasi ni majanga jaman!!
 
kwa nini umkimbie traffic? mbona jamaa wako simpo tu,yaani unamcash kulingana na hali yake kimaisha siku hiyo i.e pay him/her according to his/her life's hardship! Mbona mpaka jero wanapokea tu!
 
Back
Top Bottom