Edson Eagle
Member
- Apr 20, 2024
- 30
- 12
Pichani ni tukio lililotokea Mugumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake.
Uandishi wa hii habari unafikirisha kama kwenye mtihani wa English section ya comprehension au kwenye kiswahili ilikuwa wanasema Soma kifungu cha habari kisha jibu maswali yafuatayo😑Pichani ni tukio lililotokea mgumu mjini baada ya nguzo ya umeme kudondoka nakuangukia pikipiki na pia imenoa kudondokea watu waliokuwa karibu yake...
View attachment 3059791