Ajali YA Ndege Mbeya leo

ok apolo wacha tuone hiyo riport yao itatoka lini na itasemaje? kupeleleza kesi ya wizi inachukua miaka sembuse ajali za ndege ambazo hawana utaalamu nao. kujifunza kuendesha helikopta sio kujua muundo wake kwa namna ya mitambo yake,labda tujiulize ni kwann ajali kama ile ya ethiopia ariline na ile ya kenya airways NTSB waliitwa wao ni kwanini jeshi la polis la kenya halikuweza?

ila wewe ulisema hawaendeshi! Na ninachopinga ni unaposema hawafundishwi!
 

Hapa ndio mahali ndege hii ilipoangukia baada ya injini zake kuzima ghafla.
Ni Ndege ambayo ni mali ya kampuni ya Kapunga Rice huko Mbeya.
 
thats story is true, nimeipata TBC kwenye Dira ila hawakueleza kwa kina
 
ndege iliyopata ajali upande wa mbele

upande wa kushoto

rubani akipewa huduma ya kwanza

wahanga walionusurika wakipeana pongezi
 
Ha ha haaa!
Preta bana!...kama unajua inavyoandikwa si umwelekeze aisee!
Mi nakumbuka tulitembelea kiwanja cha ndege tukiwa darasa la 6 mwaka 1966, na tukafundishwa kuwa inaitwa Cessna-206, 6-seater a/c.

Inabidii nianze kukupa shikamoo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…