ajali ya ndege katika mbuga ya masaai mara

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,304
Reaction score
12,999
kwa mujibu wa headline ya TBC, kuna ajali ya ndege imetokea katika mbuga ya masaai mara nchini kenya. mwenye taarifa zaidi atujuze.
 
kwa mujibu wa headline ya TBC, kuna ajali ya ndege imetokea katika mbuga ya masaai mara nchini kenya. mwenye taarifa zaidi atujuze.

Four people died Wednesday after a plane crashed at an airstrip in the Maasai Mara Game Reserve.

The dead were two pilots and two passengers.


Six passengers on board the 5YUV7 light aircraft, belonging to Mombasa air, were seriously injured as the pilots prepared to land at Ngerede Airstrip near the Mara Safari Club.

Four dead in Mara plane crash- News|nation.co.ke
 
thanks for the information FJM
 
Last edited by a moderator:
Reactions: FJM
Hee! hadi kenye kuna mara!?. asante kwa taarifa mkuu. mia
 
Hee! hadi kenye kuna mara!?. asante kwa taarifa mkuu. mia
Mara ni mto unaotenganisha Kenya na Tz. Shule ya msingi hukusoma Jiografia? Masai Mara ni mbuga ya wanyama. Kwa upande wa Tz tunaiiita Serengeti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…