Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,035
- 144,387
sio tungeanza kuwachulia hatu wapiga kura wazembe waliomchagua?Tungeanza na kumchukulia Mbowe hatua kwa uzembe alioufanya wa kumpatia Lowasa nafasi ya kugombea urais kupitia chadema.
Hili ni tamko madhubuti kutoka kwa Waziri Kivuli wa wizara husikaBaada ya hii ajali ya moto kutokea,Godbless Lema ambae bila shaka ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, jana tarehe 10/08/2019 kupitia mtandao wa twitter, alizitaka Mamlka husika kuwachukulia hatua Polisi/Fire mkoa wa Morogoro kwa uzembe ambapo alipingwa vikali na baadhi ya vijana wa Lumumba ambao walimbeza kuwa anaeleta siasa katka jambo hili.
Nashukuru leo Waziri Mkuu ameamua kuunda tume kuchunguza jambo hili na sasa nasubiri kuona hawa vijana waliombeza Lema watakuja na kauli gani baada ya ripoti kutoka na hatua kuchukuliwa.
Hizi hapa chini ni tweets za Godbless Lema za siku ya jana kuhusiana na ajali hiyo ya moto:
Eneo la ajali ya moto Morogoro ni karibu na Polisi/barabarani.Polisi walipaswa kulinda eneo.Watu wanauliza kwanini watu walienda kuchota mafuta? hakuna jibu linalo ondoa wajibu wa Polisi ktk kulinda uhai wa raia,ni sawa na kumuuliza mtu kwanini amenunua Tv wkt mtaani kuna wizi?
Uzembe mkubwa Polisi/Jeshi la Zimamoto wamefanya,ajali kama hii Polisi walipaswa kuzingira eneo lote ili Zimamoto washugulike,ingekuwa ni kuzuia mikutano ya kisiasa wangefanikiwa,nimetazama picha kuanzia mwanzo watu wanavyo chota mafuta unaona kuwa hili jambo lingeweza kuepukika
Nina toa pole kwa msiba mkubwa uliotokea huko Morogoro kwa ajali na kulipuka kwa gari la mafuta na kusababisha vifo/vilema.Natoa wito kwa Mamlaka za Serikali kuchukua hatua kwa Polisi/Fire Morogoro,kwa uzembe mkubwa ktk kusimamia ajali ya aina hii haswa baada ya kuwa imetokea
Majinga yalimbeza yakidhani anafanya siasa, sasa leo Waziri Mkuu nae kaona kuna tatizo linalohitaji uchunguzi.Hili ni tamko madhubuti kutoka kwa Waziri Kivuli wa wizara husika
Kweli kabisa, heads have to roll...big time...Baada ya hii ajali ya moto kutokea,Godbless Lema ambae bila shaka ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, jana tarehe 10/08/2019 kupitia mtandao wa twitter, alizitaka Mamlka husika kuwachukulia hatua Polisi/Fire mkoa wa Morogoro kwa uzembe ambapo alipingwa vikali na baadhi ya vijana wa Lumumba ambao walimbeza kuwa anaeleta siasa katka jambo hili.
Nashukuru leo Waziri Mkuu ameamua kuunda tume kuchunguza jambo hili na sasa nasubiri kuona hawa vijana waliombeza Lema watakuja na kauli gani baada ya ripoti kutoka na hatua kuchukuliwa.
Hizi hapa chini ni tweets za Godbless Lema za siku ya jana kuhusiana na ajali hiyo ya moto:
Eneo la ajali ya moto Morogoro ni karibu na Polisi/barabarani.Polisi walipaswa kulinda eneo.Watu wanauliza kwanini watu walienda kuchota mafuta? hakuna jibu linalo ondoa wajibu wa Polisi ktk kulinda uhai wa raia,ni sawa na kumuuliza mtu kwanini amenunua Tv wkt mtaani kuna wizi?
Uzembe mkubwa Polisi/Jeshi la Zimamoto wamefanya,ajali kama hii Polisi walipaswa kuzingira eneo lote ili Zimamoto washugulike,ingekuwa ni kuzuia mikutano ya kisiasa wangefanikiwa,nimetazama picha kuanzia mwanzo watu wanavyo chota mafuta unaona kuwa hili jambo lingeweza kuepukika
Nina toa pole kwa msiba mkubwa uliotokea huko Morogoro kwa ajali na kulipuka kwa gari la mafuta na kusababisha vifo/vilema.Natoa wito kwa Mamlaka za Serikali kuchukua hatua kwa Polisi/Fire Morogoro,kwa uzembe mkubwa ktk kusimamia ajali ya aina hii haswa baada ya kuwa imetokea
Jiwe hatafanya lolote kwa kua wamesema akina Lena yaani jiwe in kiburi sana hata kwa jambo lililo waziLema umeaharibuu, "Sipangiwii"
Lena namkubali sana yuko vizuri kichwaniBinafsi namuonaga Lema ni very intelligent ata kama wanadai akwenda shule; angekuwa amesoma ina maana level zake zingekuwa balaa jamaa ukimsikiliza mara nyingi kwa hoja zake bungeni ni on point only unpolished.
Hata kwenye korosho alikuwa wa kwanza kuelezea theoretically what will happen wakampuuza na ndio kilichofuata exactly to date.
kweli akili ni nywele watu wanaongea mambo ya kutia huzuni mpumbavu mmoja anaongea upumbavu wake shamelessTungeanza na kumchukulia Mbowe hatua kwa uzembe alioufanya wa kumpatia Lowasa nafasi ya kugombea urais kupitia chadema.
Sawa kabisa unayosema.Lakini je,ingekuwa ni mkutano wa upinzani,wangechukua dakika ngapi kuusambaratisha?nayaheshimu mawazo ya Lema lakini nasema hapana! kwa wanaoifahamu vizuri wizara ya mambo ya ndani ni jinsi jeshi la zima moto lilivyo duni hawawezi kulilaumu. Serikali iko tayari kununua mamia ya magari ya washawasha ili kuwakandamiza wananchi lakini hawawezi kununua magari ya zimamoto na uokozi, kuna baadhi ya vifaa na dhana za uokozi zinapatikana Dar pekee kwa nchi nzima, tena unaambiwa kitu fulani kiko kimoja tu nchi nzima na tulipewa msaada na nchi fulani!
uzembe ni wa serikali kwa kushindwa kuliwezesha jeshi la zimamoto na uokoaji.
kwa polisi ni kweli walipaswa kufika mapema.Sawa kabisa unayosema.Lakini je,ingekuwa ni mkutano wa upinzani,wangechukua dakika ngapi kuusambaratisha?
nayaheshimu mawazo ya Lema lakini nasema hapana! kwa wanaoifahamu vizuri wizara ya mambo ya ndani ni jinsi jeshi la zima moto lilivyo duni hawawezi kulilaumu. Serikali iko tayari kununua mamia ya magari ya washawasha ili kuwakandamiza wananchi lakini hawawezi kununua magari ya zimamoto na uokozi, kuna baadhi ya vifaa na dhana za uokozi zinapatikana Dar pekee kwa nchi nzima, tena unaambiwa kitu fulani kiko kimoja tu nchi nzima na tulipewa msaada na nchi fulani!
uzembe ni wa serikali kwa kushindwa kuliwezesha jeshi la zimamoto na uokoaji.