Ajali ya Moto Morogoro: Godbless Lema ataka Mamlaka ziwachukulie hatua Polisi/Fire Morogoro kwa uzembe

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Baada ya hii ajali ya moto kutokea,Godbless Lema ambae bila shaka ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani, jana tarehe 10/08/2019 kupitia mtandao wa twitter, alizitaka Mamlka husika kuwachukulia hatua Polisi/Fire mkoa wa Morogoro kwa uzembe ambapo alipingwa vikali na baadhi ya vijana wa Lumumba ambao walimbeza kuwa anaeleta siasa katka jambo hili.

Nashukuru leo Waziri Mkuu ameamua kuunda tume kuchunguza jambo hili na sasa nasubiri kuona hawa vijana waliombeza Lema watakuja na kauli gani baada ya ripoti kutoka na hatua kuchukuliwa.

Hizi hapa chini ni tweets za Godbless Lema za siku ya jana kuhusiana na ajali hiyo ya moto:

Eneo la ajali ya moto Morogoro ni karibu na Polisi/barabarani.Polisi walipaswa kulinda eneo.Watu wanauliza kwanini watu walienda kuchota mafuta? hakuna jibu linalo ondoa wajibu wa Polisi ktk kulinda uhai wa raia,ni sawa na kumuuliza mtu kwanini amenunua Tv wkt mtaani kuna wizi?

Uzembe mkubwa Polisi/Jeshi la Zimamoto wamefanya,ajali kama hii Polisi walipaswa kuzingira eneo lote ili Zimamoto washugulike,ingekuwa ni kuzuia mikutano ya kisiasa wangefanikiwa,nimetazama picha kuanzia mwanzo watu wanavyo chota mafuta unaona kuwa hili jambo lingeweza kuepukika

Nina toa pole kwa msiba mkubwa uliotokea huko Morogoro kwa ajali na kulipuka kwa gari la mafuta na kusababisha vifo/vilema.Natoa wito kwa Mamlaka za Serikali kuchukua hatua kwa Polisi/Fire Morogoro,kwa uzembe mkubwa ktk kusimamia ajali ya aina hii haswa baada ya kuwa imetokea
 
Hili ni tamko madhubuti kutoka kwa Waziri Kivuli wa wizara husika
 
Kweli kabisa, heads have to roll...big time...
 
Binafsi namuonaga Lema ni very intelligent ata kama wanadai akwenda shule; angekuwa amesoma ina maana level zake zingekuwa balaa jamaa ukimsikiliza mara nyingi kwa hoja zake bungeni ni on point only unpolished.

Hata kwenye korosho alikuwa wa kwanza kuelezea theoretically what will happen wakampuuza na ndio kilichofuata exactly to date.
 
Lena namkubali sana yuko vizuri kichwani
 
nayaheshimu mawazo ya Lema lakini nasema hapana! kwa wanaoifahamu vizuri wizara ya mambo ya ndani ni jinsi jeshi la zima moto lilivyo duni hawawezi kulilaumu. Serikali iko tayari kununua mamia ya magari ya washawasha ili kuwakandamiza wananchi lakini hawawezi kununua magari ya zimamoto na uokozi, kuna baadhi ya vifaa na dhana za uokozi zinapatikana Dar pekee kwa nchi nzima, tena unaambiwa kitu fulani kiko kimoja tu nchi nzima na tulipewa msaada na nchi fulani!
uzembe ni wa serikali kwa kushindwa kuliwezesha jeshi la zimamoto na uokoaji.
 
Sawa kabisa unayosema.Lakini je,ingekuwa ni mkutano wa upinzani,wangechukua dakika ngapi kuusambaratisha?
 
kwa polisi ni kweli walipaswa kufika mapema.
lakini kwa zimamoto tunawaonea, wale jamaa wanamazingira duni mno, isitoshe hua wanaitwa kukiwa na moto tayari, na kama tunavyojua moto wa petroli ni sekunde chache kila kitu kinawaka
 
nayaheshimu mawazo ya Lema lakini nasema hapana! kwa wanaoifahamu vizuri wizara ya mambo ya ndani ni jinsi jeshi la zima moto lilivyo duni hawawezi kulilaumu. Serikali iko tayari kununua mamia ya magari ya washawasha ili kuwakandamiza wananchi lakini hawawezi kununua magari ya zimamoto na uokozi, kuna baadhi ya vifaa na dhana za uokozi zinapatikana Dar pekee kwa nchi nzima, tena unaambiwa kitu fulani kiko kimoja tu nchi nzima na tulipewa msaada na nchi fulani!
uzembe ni wa serikali kwa kushindwa kuliwezesha jeshi la zimamoto na uokoaji.

..nakubaliana na wewe kuhusu Zimamoto.

..Lakini wachangiaji wanahoji weledi wa Polisi wetu.

..Polisi wa kawaida walitakiwa waondoe wananchi eneo lote la karibu na lilipoanguka gari.

..wanasema ilichukua muda za zaidi ya nusu saa tangu gari lianguke mpaka mlipuko wa moto utokee.

NB.

..mikutano na mikusanyiko ya vyama vya upinzani huwa inakuwa dispersed within 10 minutes.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom