Upotevu wa vitu na uharibifu wa mali eneo la Komkonga Handeni hakuna vifo wala majeruhi
ilivyokuwa;
Kuna abiria aliomba kushuka akajisaidie, dereva akasimamisha gari wakashuka na wengine na moto ukaanza kuwaka kwenye tairi za nyuma
Asante kwa taarifa yangu naona ilikuwa pending niliiweka kitambo naomba Moderator aiondoe au auinganishe na iliyotangulia
Kama kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo