Ajali ya lori na DCM eneo la External jijini Dar yaua

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Posts
6,662
Reaction score
9,975
Kumetokea ajali maeneo ya ubungo muda sio mrefu
Mlioko huko tujuzeni

WATU kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM. Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa pili ambapo lilikutana na lori lililokuwa kwenye mwendo mkali na kuligonga kisha kupinduka.…

Watukadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM.

Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa pili ambapo lilikutana na lori lililokuwa kwenye mwendo mkali na kuligonga kisha kupinduka.
DCM hilo liliamua kuhama upande baada ya kukuta mbele yake limepaki daladala lingine lililokuwa limegongana na gari dogo aina ya Toyota Harrier.
 
Ngoja Tumuulize Mbunge Wao John Mnyika Kwani Naamini Kwa Jinsi Alivyo Mwajibikaji Lazima Tu Sasa Hivi Na Yeye Atakuwa Eneo La Tukio Na Hivi Kampeni Ziko Karibu!
 
Ni katikat ya mwananchi relin na external, scania limegonga gar la abiria had kupinduka, scania hilo lilitupita maeneo ya kituo cha darajan ubungo likisumbua kupiga honi kali kwenye folen ili liwah so baada ya folen kuachia tukalikuta mbele limesababisha ajali
 
Mtu mmoja amefariki kwenye hiyo ajali na wengi majeruhi
 
lori(semi treller) imegonga daladala kwa nyuma....
 
WATU kadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM. Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa pili ambapo lilikutana na lori lililokuwa kwenye mwendo mkali na kuligonga kisha kupinduka.…

Watukadhaa wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea usiku huu katika maeneo ya Gereji, External - Ubungo jijini Dar es Salaam kati ya lori na daladala aina ya DCM.

Abiria wa daladala waliojeruhiwa ni wengi mno japo idadi kamili bado haijafahamika huku juhudi za uokoaji zikiendelea kwenye eneo hilo la ajali.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni daladala kujaribu kuhama upande wake na kuingia upande wa pili ambapo lilikutana na lori lililokuwa kwenye mwendo mkali na kuligonga kisha kupinduka.
DCM hilo liliamua kuhama upande baada ya kukuta mbele yake limepaki daladala lingine lililokuwa limegongana na gari dogo aina ya Toyota Harrier.
 
Kama unalala saa 2 haimaanishi kila mtu alale mapema kama wewe. Saa 8 usiku shughuli zinaendelea.

Hujanielewa,huo Uzi hapo juu wapi kumeandikwa ajali imetokea saa 8? au Kuna chanzo kingine cha taarifa?...
 
Back
Top Bottom