jitukubwalao
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 195
- 161
Hahahah mkuu una maana jamaa anataamani kama vile aweke fensi barabara ili atumie pekee ake .Ajali ni ajali tu.., huwezi jua labda alikuwa na msongo tu wa mawazo. By the way, it seems alikuudhi sana huyo jamaa alipokupita, na nahisi ili kumaliza hasira zako ukamkazia hadi sekunde ya mwisho alipokuwa hana pakupita ndio ikabidi akimbilie mtaroni. Na inaonekana roho yako imesuuzika kweli
Hahahahaaa mkuu unashangaa hilo dogo mimi juzi **** mtu aliungua moto hadi anateketea mimi nachukua video ili niisambaze clip whatsupTabia mbaya kabisa. Yaani mtu amepata ajali mbele yako badala ya kusimama utoe msaada wa kuokoa maisha yake wewe ukaona shauri yake ni bora uende zako. Shame on you.
Nyinyi watu wa Dar muwe mnasaidiana.Jioni hii ya Jumapili nimeshuhudia ajali ya kizembe sana, kuna jamaa alikuwa na kirikuu yupo mwendo kasi sana akanichonea kunipita mbele akakutana na semitrela jamaa akashika breki kwa ghafla gari akihama ikabiringita hadi mtaroni sijui hali yake ilikuwaje lakini kwa mzinga ule kama hakufunga mikanda atakuwa alitokea kwenye kioo cha mbele.
Wito madereva umakini ni kitu muhimu sana kama mbele huoni vizuri usilazimishe kumpita wa mbele yako. Pia mwendo kama huwezi kumudu gari tusikimbie hovyo
Ajali ni ajali tu.., huwezi jua labda alikuwa na msongo tu wa mawazo. By the way, it seems alikuudhi sana huyo jamaa alipokupita, na nahisi ili kumaliza hasira zako ukamkazia hadi sekunde ya mwisho alipokuwa hana pakupita ndio ikabidi akimbilie mtaroni. Na inaonekana roho yako imesuuzika kweli
hata kama ningekuwa mimi wala nisingemsaidia,barabarani kuna watu wana akili mbovu sana,ajali ndio dawa yao siku nyingne wajifunzeTabia mbaya kabisa. Yaani mtu amepata ajali mbele yako badala ya kusimama utoe msaada wa kuokoa maisha yake wewe ukaona shauri yake ni bora uende zako. Shame on you.
Wewe ndo wale mnabania wenzio unakuta anawasha indiketa na honi anakupigia bado unakomaa tuu ..not fair
Shame on u
Hivi mmemuelewa mtoa mada?wewe ni shetani