Ajali ya jahazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya jahazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mhache, Apr 15, 2009.

 1. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Watu kadhaa wamekufa kutokana na moto kuwaka ndani jahazi. Chanzo cha ajali hiyo hiyo ni moto ulioanzia kwenye magodoro yaliyokuwa ndani ya jahazi hiyo iliyokuwa ikitokea Tanga. Inasemekana kwamba moto ulisambaa kwa haraka kutokana upepo mkali uliokuwa ukivuna. Je katika hili who is to blame?
   
Loading...