Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Mm nimepita na gari nimeshindwa kusimama sababu kuna watu wengi.
Nimeona pikipiki(boda boda) zaidi ya mia tano hapo nje ya hospitali ya mwananyamala mwenye habari zaidi atujuze. Abiria wenzangu wanasema ni ajali wamemleta mwenzao hospitali.