Ajali ya basi na gari dogo Mazizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajali ya basi na gari dogo Mazizi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kingwipa1, Aug 12, 2012.

 1. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  KunA ajali imetokea muda sehemu ya Mazizi
   
 2. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ajali hiyo imehusisha gari la Airbus na gari dogo aina ys Suzuki nyekundu. Dereva wa gsri dogo amepoteza maisha na pia kuna toyo pembeni.agari yote yameanguks pembeni
   
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,903
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Huko Mazizi ni wapi jamani?? Nii sehemu ya hapa hapa Dar es Salaam??
   
 4. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,283
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Habari kipisi
   
 5. Head teacher

  Head teacher JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 1,814
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mazizi ndio wapi mkuu
   
 6. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,497
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Pumzika dereva wa gari dogo
   
 7. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mazizi ni Pwani karibu na Wami
   
 8. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Mazizi ni Pwani karibu na Wami.
   
 9. P

  Prince Hope JF-Expert Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 2,168
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Juz juzi tabora, ikafuata wami, leo msata na mazizini. Ni kwa sala na maombi hii laana yaweza toweka.
   
 10. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kuna mtu karipoti ajali ya Msata nafhani tumeripoti kifu kimoja ingawa tumetsja marneo tofauti. Kwa mujibu wa wenyeji eneo ni Mazizi. Nimeshindws kuandika vizuri kutokana na kuwa kwenye gari ns mtsndao kukstika.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Huu mwezi sio mzuri hata kidogo, hizi ajali zitatumaliza.
   
 12. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Unapotaka kuhabarisha umma punguza haraka, ongeza umakini wa kiuandishi ili utoe habari iliyokamilika. Usipokuwa makini unaweza jikuta umeandika tusi.
   
Loading...