Ajali ya basi la Upendo

Ajali ya basi la Upendo

wakuu jana nilijitahidi kufuatilia taarifa ya habari TBC1 mbona sikuona hata highlight ya hii taarifa au itatoka leo?
 
Tunasubiri agizo la Mh Kombe kuhusu "Speed Governor" litekelezwe halafu itatangazwa!
 
Siku 1 nimepanda gari la upendo toka Dar to Morogoro, kwa kweli nilijilaumu sana kwanini nimepanda gari hili nikaacha Abood au Hood, Kisa nilikutana nalo getini linatoka na mimi nataka kuwahi. Gari likiwa barabarani linayumba, halijatulia kabisa, halafu kila kona ni kelele. Nilijiuliza sana, HAKUNA VYOMBO VYA USALAMA BARABARANI? JE HATUNA UKOMO WA MAGARI HAYA KUTEMBEA BARABARANI.

Nilimshukuru Mungu tulipofika salama.
 
tusiishie kupeana pole tuanze kuwadai fidia wenye mabasi haya ambao wananshindwa kutimiza masgartu ya leseni za usafirishaji
 
Back
Top Bottom