Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,358
- 18,637
🤣🤣🤣🤣Siku sheria za barabarani zikifatwa hizi ajali zitapungua sana kama sio kuisha
Juzi Kuna IST imetanua ikala njia yote mi na tvs ikabidi tukae pembeni apite ila nikasema "kuwa makini sio Kila siku utakutana na tvs"
Sijui kwann kuna watu huwa hawajui kabisa kuhis hatar,yaan yeye akiamua anafanya tu bila hata tahadhariSiku sheria za barabarani zikifatwa hizi ajali zitapungua sana kama sio kuisha
Juzi Kuna IST imetanua ikala njia yote mi na tvs ikabidi tukae pembeni apite ila nikasema "kuwa makini sio Kila siku utakutana na tvs"
Miundombinu haikidhi mahitaji mkuu, ni ngumu mno kwa idadi ya vyombo vya moto kupishana kwenye barabara moja na kwa anaekwenda na kurudi na Watembea kwa miguu kwa wakati mmoja, hasa kwa miji yenye pilika pilika nyingi.Sijui kwann kuna watu huwa hawajui kabisa kuhis hatar,yaan yeye akiamua anafanya tu bila hata tahadhari
Elimu,watu wengi wamejua kuendesha gari au chombo chochote bila kupata elimu ya u driver hii inawafanya waone Kila kitu sawa TUSijui kwann kuna watu huwa hawajui kabisa kuhis hatar,yaan yeye akiamua anafanya tu bila hata tahadhari
Licha la elimu bado miundo mbinu ya barabara ni finyu sanaElimu,watu wengi wamejua kuendesha gari au chombo chochote bila kupata elimu ya u driver hii inawafanya waone Kila kitu sawa TU
Lakini kingine ni ujinga nyuma ya usukani hii inaumiza wengi
Na alikuwa anapanda mi nashuka🤣🤣🤣🤣
Ashukuru ingekua semi angeshatangulia mbele za haki
Yani miundombinu mi naiteteaLicha la elimu bado miundo mbinu ya barabara ni finyu sana
Mbona tunaitana kwenye ajali?
Miundombinu, elimu duni, uchakavu wa vyombo vya usafiri , nchi zilizoendelea miundo mbinu ya barabara inachangia kiasi kikubwa usalama barabarani na kupunguza kiwango cha ajaliYani miundombinu mi naitetea
Maana driver huwa anafundishwa kuendesha gari kwenye mazingira magumu sana kuliko yaliyopo
Ndio maana tunawekewa zile Koni ili usizigonge na ndio maana Kuna u driver wa kujihami n.k
Huko china watu wanaendesha gari mlimani kati kati na wanavuka driver makini ni mara Chache sana atasema miundombinu
78%ya ajali tz ni kosa la driver 12% miundo mbinu na 10% hali ya hewa
Sawa zote ni sababu na wa kuokoa abiria dhidi ya hayo ni driverMiundombinu, elimu duni, uchakavu wa vyombo vya usafiri , nchi zilizoendelea miundo mbinu ya barabara inachangia kiasi kikubwa usalama barabarani na kupunguza kiwango cha ajali
Ugeni wa vyombo vya motoSijui kwann kuna watu huwa hawajui kabisa kuhis hatar,yaan yeye akiamua anafanya tu bila hata tahadhari
kijana hadi sasa tumepiga atua sana,tuulize sisi wazeeLicha la elimu bado miundo mbinu ya barabara ni finyu sana
Ni kweli mkuu ila bado ni mwendo wa kinyoga , huku fedha nyingi zikienda kwenye mambo ambayo sio ya msingi kihivyo, karibu beer 🍺 mkuu😊kijana hadi sasa tumepiga atua sana,tuulize sisi wazee