Ajali ya basi la Budget mlima Kitonga

Sijajua ni wapi ila kwa anaepahamu kitonga atakubaliana na Mimi. @ watu8

Ni kitonga hapo mkuu napita mara nyingi hapo ni km hatuo kumi kutoka kwenye mbuyu mkubwa tena huyo dereva alikuwa anakwenda Dar kaipigia upande wa gema kahama upande wake akaiangushia upande wa gema maana upande wake ndio kuna bonde nikikusaidia kdg mkuu angalia hiyo barabara ni zege sio lami ni kitonga hiyo
 
shetani mkubwa ww uwaombeae binadam wenzio mabaya,kuna nchi gani isiyokuwa na utawala wa sheria? ni kweli kwamba ww,mamako,babako,dadako na ndg yako yeyote yule hawajawahi kupata shida na kwenda polisi? sio unaongea mambo ya k×mak×ma tu

!
!
Utakuwa mtoto wa polisi tu wewe....i
 
shetani mkubwa ww uwaombeae binadam wenzio mabaya,kuna nchi gani isiyokuwa na utawala wa sheria? ni kweli kwamba ww,mamako,babako,dadako na ndg yako yeyote yule hawajawahi kupata shida na kwenda polisi? sio unaongea mambo ya k×mak×ma tu

kweli si vyema kuwaombea wenzako mabaya kwani hata wao ni binadamu km wengine na hata km wana makosa yupo wa kuwahukumu. Tuombee Amani Daima
 
Back
Top Bottom