Ajali ya basi la Budget mlima Kitonga

Ajali ya basi la Budget mlima Kitonga

!
!
ajali ya lini hii? natamani ingekuwa imepata ajali defender ya polisi

Ajali hiyo ilitokea jana jumatatu ya tarehe 02/02/2015 basi likitokea Mbeya kwenda Dar...

Jamaa yangu alikuwemo kwenye basi hilo, bahati mbaya muda ananitaarifu alikuwa yuko Mbuyuni kwenye basi lingine New Force akielekea Dar...

Gari ilikata brake ikishuka mlima, dereva akaona heri lawama kuliko fedheha...ili kukwepa kutumbukia chini ya mlima akalibamiza gari kwenye mwamba upande wa dereva, lilipobamizwa ukutani ndipo kikalala kama linavyoonekana kwenye bandiko la mleta taarifa...
 
Ungekuwa ni msafara wa chama Fulani ingekuwa ni habari njema sana.....maana kupitia ufisadi wao wameshasababisha vifo vingi....na uwepo wao duniani hauna faida kwa walio wengi bali ni hasara tu na mateso..........by the way poleni majeruhi....
 
Ajali hiyo ilitokea jana jumatatu ya tarehe 02/02/2015 basi likitokea Mbeya kwenda Dar...

Jamaa yangu alikuwemo kwenye basi hilo, bahati mbaya muda ananitaarifu alikuwa yuko Mbuyuni kwenye basi lingine New Force akielekea Dar...

Gari ilikata brake ikishuka mlima, dereva akaona heri lawama kuliko fedheha...ili kukwepa kutumbukia chini ya mlima akalibamiza gari kwenye mwamba upande wa dereva, lilipobamizwa ukutani ndipo kikalala kama linavyoonekana kwenye bandiko la mleta taarifa...

ni Mungu tu kawanusuru nnavoujua ule mlima na lile bonde tungeongea mengine.
 
acheni akili finyu.
......Nakuheshimu!!. Usidhani upo hapa kwa ajili ya kumuelekeza kila mtu aandike unachokitaka wewe. Akili finyu unaipima kwa kutumia maandishi? Ukiona mtu ana akili finyu na Mungu kakubariki wewe kuwa na akili timamu unatakiwa umshukuru Mungu na sio ku-dis watu.
 
Hapo sio mlima kitonga hata kidogo.. Pale hakuna nafasi ya kuweza kulala Basi hivyo halafu upande wa gema na kukawa na nafasi kama hyo inayoonekana kwenye picha.
 
shetani mkubwa ww uwaombeae binadam wenzio mabaya,kuna nchi gani isiyokuwa na utawala wa sheria? ni kweli kwamba ww,mamako,babako,dadako na ndg yako yeyote yule hawajawahi kupata shida na kwenda polisi? sio unaongea mambo ya k×mak×ma tu
Kwa jinsi wanavyopiga watu vile bila kutumia akili, acha yawakute tu hao polisi, labda akili itawakaa sawa!
 
Sijajua ni wapi ila kwa anaepahamu kitonga atakubaliana na Mimi. @ watu8
 
shetani mkubwa ww uwaombeae binadam wenzio mabaya,kuna nchi gani isiyokuwa na utawala wa sheria? ni kweli kwamba ww,mamako,babako,dadako na ndg yako yeyote yule hawajawahi kupata shida na kwenda polisi? sio unaongea mambo ya k×mak×ma tu
Njagu umepaniki kinyama
 
Back
Top Bottom