Wasije wakamsingizia dreva wala nani huyo kiongozi ashtakiwe kwa kusabarisha ajali.
yes l am more than serious, kama huo msafara wa huyo kiongozi ungechukua tahadhari mapema km vile kutanguliza pikipiki au defender za askari huenda dreva wa basi hilo angepunguza mwendo taratibu na angepaki basi lake pembeni na ajali isingetokea, NIMESHAKUMBANA NA MKASA KAMA HUU TENA ALIKUA PINDA ALMANUSRA NIINGIE MTO RAU,Enjo...are yuu siriazi?
Magufuli wekeza fedha kwenye hiyo barabara ya Dar - Moro umalize hizi ajali... Wenzio Kenya wamejenga ile wanaita Thika SUPER HIGHWAY yenye LANES 10 kwa umbali wa KM 50, nyie mnaishia kugawana posho bila kuleta maendeleo ya kweli kwa hii nchi. Hii serikali ya awamu ya nne ni janga la kidunia.
Its owkay kama hiki ndicho ulichokimaanisha kwani mimi naamini msafara hauwi msafara kama hayo uliyoyataja yapo.. sasa nilisghangaa kutaka kumsulubisha kiongozi wakati yeye angekuwa hana kosa...yes l am more than serious, kama huo msafara wa huyo kiongozi ungechukua tahadhari mapema km vile kutanguliza pikipiki au defender za askari huenda dreva wa basi hilo angepunguza mwendo taratibu na angepaki basi lake pembeni na ajali isingetokea, NIMESHAKUMBANA NA MKASA KAMA HUU TENA ALIKUA PINDA ALMANUSRA NIINGIE MTO RAU,