Ajali ya basi Gairo

Ajali ya basi Gairo

12.jpg

Dotworld hapo ni maajabu ya ubua kuuangusha Mbuiyu (yaani Toyota pick up cyilinder 4 kuipita Toyota Land Cruiser VX V8 Cyilinder 8) na mbele kuna Double Coaster nayo imevunja sheria imeshaomba na ni kwenye kona.
Hapo ni huruma kwa wote madereva kuachiana nafasi la akipatikana kichaa au mlevi ni hadithi ingine.
magufuli ametenga hela Morogoro Dar njia 6 badala ya 2 labda itasaidia sasa sijui huko kwingine?
 
Last edited by a moderator:
Inasikitasha kweli, watanzania wanazidi kufa kwa uzembe wa baadhi ya watu.....R.I.P. Mage....Mungu aipumzishe roho yako mahala pema. Amina.
 
Serikali dhaifu, kila kitu dhaifu. Wacha tufe maana ndo viongozi wetu tuliowachagua.
 
Back
Top Bottom